
Mr Chakushangaza Elimu Solutions
February 28, 2025 at 10:09 AM
TANGAZO MUHIMU KWA WANAOTAKA KUJIUNGA NA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limeongeza muda wa kutuma maombi ya ajira kwa siku 7 zaidi. Mwisho wa kutuma maombi sasa ni tarehe 07 Machi 2025 badala ya 28 Februari 2025.
Kwa wale wenye sifa na nia ya kujiunga na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, mnakaribishwa kuendelea kutuma maombi kupitia ajira.zimamoto.go.tz.
Kwa usaidizi wa haraka na kuhakikisha maombi yako yanakamilika kwa wakati, nitafute mimi, Mr Chakushangaza kwa 0627368679.
Nikuhakikishie huduma bora na ufanisi katika kukamilisha maombi yako kwa wakati.
