
Mr Chakushangaza Elimu Solutions
February 28, 2025 at 10:25 AM
*MAHITAJI YA KUTUMA MAOMBI ZIMAMOTO*
👨🏿🚒 NIDA
💂🏽♀️No ya form 4
👨🏿🚒barua ya maombi ya kazi
⛑️barua toka kwa sheha/mwenyekiti
🧑🏼🚒cheti cha form4/diploma/degree etc
👨🏿🚒 registration no za vyuoni kwa wale wa diploma na degree pia tuma na transcript
🤜🏿active phone no ya simu
🏃🏽active email
PIA JIBU MASWALI HAYA KAMA ULIVYOJAZA KWENYE NIDA
♨️no ya simu uloandika wakati unajisajili nida
🫂majina 3 ya mama yako
♨️ jinala shuke ya msingi
💣mwaka wa kuhitimu shule ya msingi
👨🏿🚒kata ulipojiandikisha nida
💂🏽♀️kijiji/mtaa ulipojiandikisha nida
😶🌫 mkoa wa makazi yako
😶🌫mkoa ulipojiandikisha nida
⛑️wilaya ulipojiandikisha nida
By
Mr Chakushangaza
0627 368 679