
Crown Media
February 27, 2025 at 02:02 PM
Leo Buruda la @kasrilakikeke litasimamiwa na Stella Mbuge @officialstellambuge Top model Miss Tanzania 2011.
Sikiliza KASRI kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni hadi saa 3:00 Usiku, unaweza kutufuatilia kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Tune In CROWN FM, Youtube CROWN MEDIA na kwenye kisimbuzi cha Azam ni chaneli namba 67.
#crownmedia #hapaninyumbani

❤️
1