
Crown Media
2.8K subscribers
About Crown Media
Karibu Nyumbani kwa Habari kwa Kina, Michezo, Kitaifa na Kimataifa, Biashara na Burudani. #hapaninyumbani Tazama CROWN TV (Ch.415 Azam Tv - Dish), Sikiliza 92.1 CROWN FM.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Leo Buruda la @kasrilakikeke litasimamiwa na Stella Mbuge @officialstellambuge Top model Miss Tanzania 2011. Sikiliza KASRI kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12:00 Jioni hadi saa 3:00 Usiku, unaweza kutufuatilia kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Tune In CROWN FM, Youtube CROWN MEDIA na kwenye kisimbuzi cha Azam ni chaneli namba 67. #CrownMedia #HapaNiNyumbani


HUJAMBO? Malkia @imani.luvanga amechaguliwa kuwania tuzo za ‘Ladies in Media’ 2024 katika kipengele cha: 1. Mwandishi wa habari wa Kike Afrika (African Female Reporter of the year) 2. Msomaji habari wa Kike wa Mwaka Afrika (African Female News Anchor of the Year) Tunaomba kura yako ili aweze kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho. Ingia kwenye ukurasa wake @imani.luvanga hapa instagram ili kupata maelekezo ya jinsi ya kumpigia kura, alete ushindi Nyumbani. #KuraZoteKwaMalkia #HapaNiNyumbani #CrownMedia


Akizungumza na @tony_sixteen nyota wa muziki hapa nchini @diamondplatnumz ameeleza namna ambavyo kufanya utofauti kwenye kila jambo kumemsaidia kumpa ukubwa. “Kila kitu kinawezekana na nafikiri wakati mwingine tukubali kwenda tofauti na kwenda extra yani lazima uende extra ili watu wakuzungumzie…” ~ @diamondplatnumz #CrownMuziki #HapaNiNyumbani