
Crown Media
February 27, 2025 at 05:46 PM
HUJAMBO?
Malkia @imani.luvanga amechaguliwa kuwania tuzo za ‘Ladies in Media’ 2024 katika kipengele cha:
1. Mwandishi wa habari wa Kike Afrika (African Female Reporter of the year)
2. Msomaji habari wa Kike wa Mwaka Afrika (African Female News Anchor of the Year)
Tunaomba kura yako ili aweze kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho.
Ingia kwenye ukurasa wake @imani.luvanga hapa instagram ili kupata maelekezo ya jinsi ya kumpigia kura, alete ushindi Nyumbani.
#kurazotekwamalkia #hapaninyumbani #crownmedia

❤️
2