
Yuston Media
February 4, 2025 at 09:16 PM
YANGA YAACHANA NA MAKOCHA WAKE SEAD RAMOVIC NA MUSTAFA KADRO ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI.
Klabu ya Yanga imethibitisha kuachana na aliyekuwa kocha wao mkuu Sead Ramovic pamoja na msaidizi wake Mustafa Kadro ✅
Pia wamemtangaza Miloud Hamdi raia wa Algeria na Ufaransa kuwa kocha Mkuu ndani ya kikosi hicho ✅
