Yuston Media WhatsApp Channel

Yuston Media

49 subscribers

About Yuston Media

News, sports and entertainment channel owned by @yuston_tz1

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Yuston Media
Yuston Media
2/24/2025, 6:58:48 PM

MSIMAMO: Pointi nne (4) na kiporo kimoja….!!! #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable

Post image
Image
Yuston Media
Yuston Media
2/24/2025, 6:10:29 PM

MAISHA YA ELIZA ❤️ Sehemu ya 02 Mwenzi mmoja ulipita Eliza akapona lakini Eliza alikuwa kashika mimba,, Mama yake Eliza alichanganyikiwa ,maana Eliza alikuwa anasubilia matokeo ya darasa la Saba , Eliza nae yeye alikuwa analia tu maana ile mimba ilimchanganya hakujua ataitunza vipi na utoto ule , mama yake Eliza akarudi ofisini kwa kina Baraka na kuwaambia kuwa mwanawe alivyobakwa amepewa ujauzito, kampuni ikamwita tena Baraka na kumuweka kikao na wakaamua Baraka atakatwa kila mwezi kiasi cha laki mbili atapewa Eliza mpaka atakapojifungua na labda amuoe waishi wote ,Baraka alilalamika na kuwaambia mabosi wake kiasi hicho ni kikubwa maana yeye analipwa laki tatu na nusu kwa mwezi sasa akikatwa laki mbili nzima itakuwaje ,? Mabosi wa Baraka wakamwambia Baraka wanafanya hivyo ili kuficha aibu ya kampuni yao maana mama Eliza akienda kushtaki kuwa mtoto wake kabakwa na mfanyakazi wa hapa kampuni yao itasimamishwa kazi , Baraka akakubali kukatwa laki mbili kila mwezi , Eliza akatengenezewa kikadi maalumu ikifika mwisho wa mwezi anaenda benki na kikadi hicho na atakuwa anadroo pesa kama kawaida , Baraka alikuwa mnyonge sana maana hakujua kitendo alichokifanya kingemuthiri kiasi hicho , na hakujipanga kuoa maana kwao ni mbali na hapo kijijini alikuja na hiyo kampuni ya uchongaji wa barabara, Kazi ya kuchonga barabara ikaisha na kampuni ikahama na kuhamia Rwanda Baraka nae akahama na kampuni hiyo na maisha ya Eliza yakaendelea huku akienda kudroo pesa kama kawaida , Sebastian au wanamuita Seba,kijana wa hapo kijijini kwa kina Eliza anapata taarifa kuwa Eliza japo anamimba lakini kila baada ya mwisho wa mwezi anachukua laki mbili kutoka benk za matumizi , anamuua kwenda na kuongea na mama yake Eliza kuwa anataka kumuoa Eliza aishi nae hivyo hivyo na ujauzito wake , Mama yake Eliza anakubali na mipango ikafanywa na Eliza akaolewa na Seba, Mwanzoni maisha yalikuwa mazuri sana na Seba alikuwa anakwenda kazini sasa ukichanganya kipato cha Seba na zile laki mbili za kila mwezi za Eliza mambo yalikuwa mazuri kwa upande wao , Mama yake Eliza akapata ajali gafra tu na kupoteza maisha , Eliza alilia sana na akawa hana pa kutegemea zaidi ya mumewe Seba , Lakini baada ya miezi kupita Seba alibadirika na kuwa ni mtu wa pombe , na kazini akafukuzwa akawa hana kazi wakawa wanategemea ile laki mbili ya kila mwezi , Kile kikadi akakichukua Seba na akawa anakwenda kudroo yeye pesa , sasa akitoka kudroo hupitia baa na kunywa Pombe na akirudi ni matusi mtindo mmoja ,Eliza akidai pesa anapigwa , yakawa ndio maisha ya Eliza , Miezi 9 ikafika Eliza akashikwa na uchungu akiwa ndani mumewe yuko baa anapiga mitungi , majirani wakamsaidia na kumpeleka zahanat ya kijiji ,na zahanat walimpokea lakini baada ya vipimo wakamwambia anatakiwa awaishwe hospitali ya mkoa ili aongezwe njia maana njia yake ni ndogo , Eliza kwa msaada wa majirani akapelekwa hospital na akajifungua salama ,mumewe Seba alipelekewa taarifa za mke wake lakini hakujali wala hakwenda hospital alichokifanya akamchukua mwanamke mwingine na kumuoa yaani mkewe yupo hospitali yeye huku akaoa mke mwingine, Eliza alikaa hospital wiki mbili na alijifungua salama mtoto wa kiume huku chakula akiletewa na majirani na aliporuhusiwa anarudi nyumbani anamkuta mwanamke mwingine ndani ya nyumba wanayoishi na mumewe, " "mume wangu huyu ni nani "? Eliza aliuliza , "Huyu ni mke wangu mpyaa nanaomba umuheshimu " Seba alijibu bila wasi wasi , " Lakini Seba mbona unanifanyia hivyo basi nipe ile kadi ya benki mi niende nikaishi sehemu nyingine," Eliza alilalamika na kuomba ile kadi ya benki , " Yaani wewe ungekuwa hutoki hospital ningekuzaba makofi ,yaani unadai ile kadi kwani hapa huli ,? Au nimekufukuza , yaani mi naishi nawewe tokea unamimba ya mtu mwingine mpaka umeenda kuzaa unakula na kunya kwangu bado huna shukuran,sasa kama unataka kuondoka ondoka kama utabaki baki ila kadi sikupi ," Seba aliongea na kuingia ndani , Eliza alilia sana lakini haikusaidia ,maisha yakawa magumu kwake kwani hata kulala analala sebuleni na katoto kake Seba na mkewe mwingine wanalala chumbani , ** Baraka aliendelea kufanya kazi kwa bidii huku mshahara wake ukikatwa kila mwezi yaani laki mbili zinakwenda benki na zinazobakia ndio anapewa yeye na hakuwa na namna na hakuweza kurudi kule alikomuacha Eliza , ** Pale ndani maisha ya Eliza yalikuwa magumu sana maana hata Seba akichukua pesa benki hampi anazitumia na mkewe mwingine tena baa na wakirudi wamelewa chakali , Siku moja walilewa na kile kikadi cha benki kikapotea , ITAENDELEA

Yuston Media
Yuston Media
2/25/2025, 4:53:18 PM

MAISHA YA ELIZA ❤️ Sehemu ya 03 Siku moja walilewa na kile kikadi cha benk kikapotea , Asubuhi na mapema Seba aliamka na kuanza kukitafuta kikadi hicho lakini hakukiona ,akajua Eliza ndo kakichukua , akamfuata alipolala na kumuamsha na makofi mengi , "nipe kile kikadi upesi " aliongea Seba kwa ukali , " Jamani baba John mimi sijachukua hicho kikadi " aliongea kwa huruma Eliza , "Funga bakuli lako halafu ukome kuniita baba John mimi sina mtoto nawewe " alizidi kuongea Seba , Eliza alishindwa kuelewa hicho kikadi kimepotea potea vip maana ndicho wanachotegemea kwenye maswala ya chakula hapo nyumbani, Seba alimpiga Eliza huku akimwambia amuoneshe kikadi hicho na Eliza hakuwa nacho ,maisha yakawa magumu kwa upande wa familia hiyo kwani Seba alikuwa anategemea hiyo laki mbili kila mwezi na maisha ya kijijini hiyo pesa ilikuwa inatosha kabisa na ndio maana akaoa na mke wa pili, Maisha yakabadilika ikawa Eliza akawa anafanya vibarua vya kilimo na kukata kuni polini na kuuza kijijini hapo na kupata pesa kidogo , alichopata alinunua unga kidogo na kula na mwanae , Mke mwingine wa Seba akaona chuki akamwambia Seba kuwa Eliza anamnyima chakula , Seba akakasirika akamtukana sana Eliza na kumfukuza nyumbani hapo na kumwambia kwanza yeye alimsaidia tu kutokana na mimba yake na sio kama anampenda , "Mimi nilikupa msaada tu wa kuishi hapa kwa sababu ulikuwa na mimba na wala sikukupenda ondoka kwangu, unamnyima mke wangu chakula unazani mimi siwezi kutafuta " Aliongea kwa hasira , " Nisamehe mume wangu mimi sina sehemu ya kwenda ntaenda wapi mimi na mtoto, " aliongea Eliza huku akitia huruma , " Utajua mwenyewe na ukitaka kukaa hapa kwangu basi unachopata kilete hapa nyumbani tule wote mshenzi mkubwa wewe," Aliongea Seba huku akikunja shati lake na kuondoka zake , Eliza alilia tu asijue wapi pa kuanzia na wapi ataishia , *** Baraka alipandishwa daraja kutoka kibarua mpaka kuajiriwa na alipoajiriwa aliongezewa mshahara na akawa analipwa laki 8 kwa mwezi lakini kutokana na ile ishu ya kum baka Eliza waajiri wake wakaamua kumpa Baraka laki tano kwa mwezi huku laki tatu ikienda kwenye ile akaunti ya Eliza bila kujua Eliza ameshapoteza kile kikadi , ile pesa ilikuwa inaongezeka kila baada ya miezi na sasa ikatimia mwaka mmoja huku akaunti hiyo ikisoma ni milioni 3 na laki 6 na baraka hakujua hilo kwa vile yeye mshahara wake hukatwa juu kwa juu ,na wale waajiri wake wakajua Eliza ameamua kuiacha pesa hiyo ili iwe nyingi na labda aje aifanyie biashara baadae kumbe Eliza anakula msoto wa nguvu na anapitia shida balaa , **** Eliza alikuwa anafanya vibarua huku mvua ikiwa yake na jua likiwa lake na mtoto wake ,na pesa akizipata basi huzigawa nusu anachukua Seba akanywe pombe na nyingine hupika chakula kwa ajili ya familia nzima ,yaani pamoja na mke wa Seba ,akikataa ni kipigo, Mke wa seba yeye alikuwa hafanyi kazi alikuwa anapiga umbea tu nyumbani na Eliza huamka saa 12 na mtoto wake kwa ajili ya kusaka vibarua , Siku hiyo Eliza alikosa vibarua akaamua kurudi nyumbani akiwa na mwanae mgongoni kwenye kanga alikuwa na mia tano tu akaamua amnunulie mwanae ndizi za kukaanga angalau apoze njaa kwa sababu ilikuwa ni saa 8 mchana jua linawaka na hawajaweka kitu tumboni , Alinunua ndizi hizo na kuzibeba mpaka nyumbani na alipofika akamkuta mke mwenzake anamsubilia , " Yaani umeondoka hujaacha hata hela ya uji unategemea mi ntakula nini," aliongea mwanamke huyo bila hata aibu , Eliza hakumjibu aliingia ndani na kumuwekea mwanae ndizi kwenye sahani ili ale , Lakini kabla hata hajaanza kula akaingia yule mke mwenzake na kuzichukua zile ndizi na kuanza kuzila , "Mshenzi wewe yaani unajifanya husikii nilichokuambia sasa mi nakula hizi ndizi " Eliza alikaa tu na kuanza kulia maana hata kupigana alikuwa hawezi , " Mama acha kulia mimi sina njaa " Ilisikika sauti ya mtoto John mtoto wa Eliza baada ya kumuona mama yake akilia kwa uchungu huku akimkumbatia , John alimfuta mama yake machozi na mama yake akapata nguvu kidogo na kum beba mwanae na kuondoka zake kutafuta kuni ili aje aziuze apate japo kula siku ya leo , *** Kampuni ya Video shutting and editing limited, ilikuwa ndani ya poli ikifanya moving, muvi hiyo ilikuwa inahusu mtoto wa kijijini mwenye akili nyingi na anae pitia mateso baada ya baba yake kufariki na kuachwa na mama yake tu, walijenga vijumba kama vya kijijini na kuwaweka wahusika na mambo yakawa yanaendelea , Wakati wanaendelea na kushut muvi hiyo Eliza alikuwa karibu kabisa na eneo hilo alikuwa anatafuta Kuni akashangaa kusikia watu wanasema ACTION,,! ikabidi aangalie vizuri akaona kuna watu wapo bize na makamera huku kuna mtoto makamo ya mwanae anakula chakula huku camera ikielekezwa kwake ni kama alikuwa wanashuti , Eliza akamshusha mtoto wake John na kumwambia " mwanangu nenda pale kaombe chakula ule na uhakikishe unashiba kabisa sawa mwanangu, ? John akaitikia "sawa mama" Mhusika mkuu kwenye muvi hiyo alikuwa ni mtoto huyo alikuwa anakula chakula , mtoto huyo waliemtoa mjini ,sasa mtoto huyo alitakiwa aigize kama mtoto wa kijijini sasa kama unavyoelewa mtoto alieishi mjini hafanani na wakijijini hata kama utamfosi aigize maisha ya kijijini, kwahiyo mtoto huyo alikuwa anakula chakula kile kama hataki , "huyu mtoto katokea wapi tena jamani"? Aliuliza director wa muvi hiyo huku wasanii wengine wakishangaa tukio lile , mtoto John alisimama katikati ya mtoto yule aliekuwa anakula msosi kama hataki bila kujua mwenzake ni msanii na hapo anaigiza , "Naomba chakula nina njaa " aliongea John huku amemkazia macho mtoto mwenzake huyo , " SITAKI ,,! akajibu mtoto huyo kwa jeuri, Mtoto John akapandwa na hasira akamkata kofi moja languvu mtoto huyo na kuchukua kile chakula na kuanza kula pale pale , tukio hilo kila mtu aliliona mpaka director wa muvi hiyo alisahau kuzima kamera na tukio hilo likajirekod na kuwa kipande kitamu sana kukitazama , mtoto John alipiga matonge kama matatu kisha akamwambia yule mtoto mwenzake " Asante kwa chakula ila hichi kilichobaki sikupi nampelekea mama yangu yule kulee " mtoto John aliongea huku akimnyooshea kidole mama yake na wasanii wote wakamuangalia Eliza na Eliza akaanza kutetemeka akijua mwanae amelikoroga , ITAENDELEA

Yuston Media
Yuston Media
2/24/2025, 6:59:56 PM

@simbasctanzania wametoshana nguvu na @azamfcofficial kwa kufungana magoli mawili kwa mawili, mechi Kali iliyopigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

Video
Yuston Media
Yuston Media
2/23/2025, 6:58:24 PM

MAISHA YA ELIZA ❤️ Sehemu ya 01 "huyu mtoto wako ntakuja nimuulie mbali ," Aliongea Seba kwa hasira huku akimsukuma mtoto huyo na kumdondosha chini ya kitanda ,na mtoto huyo akaanza kulia , " Jamani hebu muache mwanangu kwani kafanyaje mpaka umsukume hivyo," Aliongea mke wa Seba na kusababisha vurugu ndani ya nyumba yao , "We huoni kama amekojolea shati langu mi nakwambia ntakuja nikavunje vunje haka katoto Kako " Seba aliongea na kumalizia kumpiga konzi mtoto huyo mwenye miaka mitatu , "Jamani baba John mbona unanipigia mwanangu lakini " Mkewe alisikia uchungu baada ya mtoto wake kupigwa konzi na mumewe , "Halafu wewe usiniite baba John ,mimi sina mtoto kama huyo sawa baba yake ni mchonga barabara na sio mimi Malaya mkubwa wewe" Aliongea Seba kwa hasira na kumfanya mkewe aanze kulia , na hayo ndio yalikuwa maisha yao kijijini hapo , Mama yake Eliza alikuwa ni mama ntilie kando ya barabara iliyopita kijijini hapo ,na barabara hiyo ilikuwa inatengenezwa na kampuni ya Wachina ikiwa na wafanyakazi waswahili , mmoja wa wafanyakazi hao alikuwa anaitwa Baraka , Baraka alikuwa mpole sana tena mchapakazi hodari na kila mchina alimpenda kwenye kampuni hiyo , Siku moja wakati wa chakula cha mchana wafanyakazi wote wakiwa wanapata chakula Baraka alienda kisimani kisima hicho kilichimbwa kwa dharula tu na kampuni hiyo kwa ajili ya matumizi ya utengenezwaji wa barabara, lakini wakati ananawa akaja Eliza na ndoo yake kwa ajili ya kuchota maji , Eliza ni mtoto wa mama Eliza yule mama ntilie na Eliza alikuwa kamaliza darasa la Saba na alikuwa anasubilia matokeo yaani Eliza alikuwa mdogo kiasi yaani ni hawa wasichana wanaobarehe , Eliza alikuja hapo kwa ajili ya kumsaidia mama yake kazi za hoteli , Baraka akamtongoza Eliza lakini Eliza akakataa , na kutokana wako mbali kidogo ya watu Baraka akamkaba Eliza na kumdondosha chini huku akimziba mdomo asipige kelele, Eliza alijitahidi kujinasua mikononi mwa Baraka lakini hakuweza Baraka alimzidi nguvu na vile alizibwa mdomo aliishiwa nguvu kabisa Baraka akam baka Eliza na asijue kuwa Eliza ni bikira yaani hajawahi kuguswa kabisa na mwanaume hapo kijijini, Damu zilimtoka Eliza lakini Baraka hakujali alizidi kumshindilia limuhogo lake mpaka anamaliza ndo anagundua kuwa alimuumiza mtoto wa watu maana zile damu hata yeye zilimchafua ,Baraka akili ndo zikamjia kuwa alichokifanya sio kitu kizuri , Eliza nae alilia huku akibeba ndoo yake bila maji na kuchechemea kurudi hotelini kwa mama yake , Mama yake alipomuona akachanganyikiwa na kumuuliza kulikoni Eliza akaeleza kila kitu , Mama yake akaenda ofisini kwa wale waliomwajili Baraka na kushtaki , Wachina nao wakaona Baraka ameitia aibu kampuni wakamuita Baraka na kumuuliza kama ni kweli ,Baraka hakukataa maana hata yeye alishangaa kwanini amefanya vile , kutokana na Baraka kuishi vzr na mabosi wake wakamwambia Baraka atakatwa mshahara wake ili Eliza akatibiwe mpaka apone ,Baraka akakubali , Mwezi mmoja ulipita Eliza akapona lakini Eliza alikuwa kashika mimba, ,, Itaendelea Maoni kama ni nzuri tuendelee nayo kama ni mbaya tuachane nayo.........nawasubiria

Yuston Media
Yuston Media
2/24/2025, 8:03:40 PM

https://youtu.be/8sn-wfRquj4?si=1lA6NnqMn7Wm7KGJ

Yuston Media
Yuston Media
2/25/2025, 9:43:16 PM

Mwanasiasa na mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya amesema yeye sio Mwanachama wa @ccmtanzania ila ni Mwanachama wa @chadematzofficial na alieda mahakamani kupingwa uamuzi wa kufutwa uanachama na chama hicho.

Video
Yuston Media
Yuston Media
2/25/2025, 5:14:39 PM

https://youtu.be/4Mbri6PX7oY?si=E25ytvEJ-6mRBzOX

Yuston Media
Yuston Media
2/23/2025, 10:45:00 PM

Welcome First Year ya @dartuofficial ilikuwa ya moto sana, performance Kali kutoka kwa wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya akiwemo mkongwe PNC, Kontawa, The Mafik, Tresor na mkali wa singeli Jay Kombat. Burudani ilikuwa ni baab kubwa!

Video
Yuston Media
Yuston Media
2/20/2025, 7:26:34 PM

The hottest woman in the world 🌍 may God give you many blessed years the queen 👑 of music and entertainment at large.

Video
Link copied to clipboard!