
Yuston Media
February 19, 2025 at 06:38 PM
FULL TIME : NAMUNGO 0-3 SIMBA SC
⚽⚽ Jean Charles Ahoua
⚽ Steven Mukwala
🗣️ Moja ya mechi dume sana ambayo ilikuwa na intensity kubwa kwa pande zote mbili tukiona Namungo wakiamua kucheza low block wakikaa nyuma sana haswa wakiwasubiria Simba Sc waje .
— Simba Sc wanapunguza gape kutoka alama 5 dhidi ya Yanga na kubakia alama 2 huku wakiwa na mechi 1 mkononi .
#simbasctanzania #yangascbingwaupdates #simbanguvumoja #nguvumoja #michezo
