Yuston Media
Yuston Media
February 19, 2025 at 06:39 PM
Wekundu wa Msimbazi 🦁@simbasctanzania wamefanikiwa kuondoka na ushindi wa nguvu wa goli 3 dhidi ya @namungofc ambao hawakupata kitu. Mabao ya Simba yamefungwa na Jean Charles Ahoua, aliyefunga mawili ya penati pamoja na Steven Mkwala aliyefunga goli la tatu.

Comments