Aviation Media Tanzania
Aviation Media Tanzania
February 4, 2025 at 02:31 PM
Air Busan kupiga marufuku kubeba Benki za umeme (Power Banks) ndani ya ndege baada ya moja ya ndege yake ya Airbus A321 (HL7763) kuungua moto huko Gimhae mnamo Januari 28. Kuanzia Februari 7, mikoba itakaguliwa kabla ya kupanda ndege na mikoba isiyo na benki ya umeme itaruhusiwa.
Image from Aviation Media Tanzania: Air Busan kupiga marufuku kubeba Benki za umeme (Power Banks) ndani ya...
😮 1

Comments