
Aviation Media Tanzania
February 6, 2025 at 04:22 AM
Ndege ya shirika la Japan (JAL) Boeing787 na ndege ya Delta Boeing737 zimegongana kwenye njia ya viungio katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Seattle.
Ingawa hakuna taarifa ya majeruhi, bawa la kulia la ndege ya JAL iligonga mkia wima wa B737 na kusababisha uharibifu kwa ndege zote mbili.

😮
1