Aviation Media Tanzania
February 6, 2025 at 12:51 PM
Kuna ripoti kuhusu ndege ya kivita ya jeshi la anga la India Mirage 2000 iliyoanguka huko Shivpuri, (Madhya Pradesh, India).
Taarifa za kwanza zinasema kuwa rubani amenisurika.
Chanzo:
livefist/x
👍
1