Aviation Media Tanzania
February 6, 2025 at 03:48 PM
Rubani na abiria wanusurika kupata ajali mbaya baada ya ndege ya TropicAir, DHC-6-400 Twin Otter kusukumwa na upepo mkali hali iliyosababisha ndege hiyo kuacha njia wakati ilipokuwa ikijaribu kuruka katika uwanja wa Ndege wa Kerema, Papua.
Mbunge wa Kerema Open Thomas Opa alisema,
"Nguvu ya upepo mkali ilisababisha ndege kutoka nje ya njia, hata hivyo rubani alifanikiwa kupambana na kusimama kwenye ngem pembeni, Abiria wote na rubani wako salama na
hakuna majeraha makubwa."