Aviation Media Tanzania
Aviation Media Tanzania
February 6, 2025 at 04:16 PM
Maafisa kumi wa shirika la ndege la Afriqiyah na Libyan Airlines wamewekwa kizuizini kwa kutumia vipuli vya ndege vya kughushi na kushindwa kufanya matengenezo ya ndege yaliyopangwa. Ofisi ya Mashtaka ya Libya imeamuru kuzuiliwa kwa maafisa wa kampuni zote mbili za ndege kufuatia matukio kadhaa ya ndege yalitokana na uzembe wa kufanya ukaguzi kwa wakati na uingizwaji wa makusudi wa vipuli ambavyo hazikukidhi vigezo vilivyoidhinishwa.
Image from Aviation Media Tanzania: Maafisa kumi wa shirika la ndege la Afriqiyah na Libyan Airlines wamew...

Comments