Aviation Media Tanzania
Aviation Media Tanzania
February 7, 2025 at 02:10 AM
Mchana wa tarehe 06 Februari ndege ya kibinafsi aina ya Socata TBM 700 ilianguka huko Leuzigen nchini Uswizi na kujeruhi watu wote 3 waliokuwa ndani. Ndege yenye usajili wa HB-KHC ilianguka kwenye eneo la karibu na njia ya uwanja wa ndege wa Grenchen.
Image from Aviation Media Tanzania: Mchana wa tarehe 06 Februari ndege ya kibinafsi aina ya Socata TBM 700...

Comments