Aviation Media Tanzania
February 7, 2025 at 07:53 AM
Mamlaka inaitafuta ndege iliyotoweka Alaska ikiwa imebeba watu 10.
Ndege hiyo ya Bering Air Flight 8E445, Cessna 208B Grand Caravan EX iliyokuwa na watu 10 ilitoweka kwenye rada ilipokuwa ikipitia Norton Sound ya Bahari ya Bering huko Alaska kutoka Unalakleet kuelekea OME.
Shughuli za utafutaji na uokoaji zinaendelea kwa sasa ingawa kuna changamoto ya hali mbaya ya hewa ya ukungu mzito.
Askari wa Kitaifa, Walinzi wa Pwani na askari wa kawiada pia walikuwa wakisaidia katika msako huo, kulingana na idara ya zimamoto.
😮
1