
Aviation Media Tanzania
February 7, 2025 at 10:09 AM
Kwa ustadi Rubani wa Grob G 115 Michael Jones katika safari ya saa mbili kuzunguka kusini-magharibi mwa Ontario Jumatano asubuhi, alitumia njia yake ya ndege kuchora jani kubwa la mchoro ulio katika Bendera ya Canada katika harakati kutuma ujumbe wa hila lakini ulio wazi kwa majirani zake wa U.S. kutokana na yale yanayoendelea sasa.
