Aviation Media Tanzania
February 7, 2025 at 11:54 AM
Ndege ya Beech King Air imeanguka huko Sao Paulo, Brazil.
Hadi kufikia sasa ripoti zinasema watu wawili waliokuwemo wamepoteza maisha na kuna majeruhi wa ardhini.
Vyombo vya habari viliripoti kuwa ndege iligonga Bus ambalo halikuwa na abiria na walioshuhudia walisema ilikuwa ikijaribu kutua kwa dharura.
Ndege hiyo yenye Usajili “PS-FEM” inaendeshwa na “Maxima Inteligencia Operacoes Estruturadas e Emp.”