Aviation Media Tanzania
Aviation Media Tanzania
February 7, 2025 at 01:55 PM
.Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa mkoa wa Iringa rasmi utaanza kupokea safari za ndege za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ifikapo Februari 22 mwaka huu baada ya kiwanja cha ndege cha Iringa kilichopo maeneo ya Nduli kukamilika kwa asilimia 93. Taarifa ya: Tanzania Airports Authority
Image from Aviation Media Tanzania: .Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa mkoa wa Iringa r...

Comments