Aviation Media Tanzania
Aviation Media Tanzania
February 8, 2025 at 03:45 AM
US Coast Guard imemaliza kazi yake ya kuitafuta ndege iliyotoweka baada ya ndege hiyo kupatikana takribani Maili 34 kusini mashariki mwa Nome. Watu 3 wamepatikana sehemu inayofikika ndani ya mabaki ya ndege na kuripotiwa kuwa wamefariki. Watu 7 waliosalia wanaaminika kuwa ndani ya ndege hiyo lakini kwa sasa hawafikiki kutokana na hali ya ndege hiyo. Hakuna dalili ya uhai.
Image from Aviation Media Tanzania: US Coast Guard imemaliza kazi yake ya kuitafuta ndege iliyotoweka baad...

Comments