Aviation Media Tanzania
Aviation Media Tanzania
February 8, 2025 at 05:33 AM
. Jumla ya washiriki 25 wamehitimu mafunzo maalumu katika Chuo cha Mafunzo ya Usafiri wa Anga Tanzania (CATC). Kati ya hao, wanafunzi 19 walihitimu kutoka Kozi za Urubani wa Ndegenyuki (Ndege zisizo na rubani) huku 06 wakikamilisha Kozi ya Udhibiti wa Viwanja vya ndege (Aerodrome Control). Hafla hiyo ya kufunga rasmi iliongozwa na Mkuu wa Mafunzo wa CATC, Didacus Mweya, ambaye aliwapongeza wahitimu hao na kuwataka kulinda heshima ya taasisi hiyo kwa weledi na ubora. @catc
Image from Aviation Media Tanzania: . Jumla ya washiriki 25 wamehitimu mafunzo maalumu katika Chuo cha Maf...
👍 1

Comments