Aviation Media Tanzania
Aviation Media Tanzania
February 8, 2025 at 07:53 AM
Ndege zilizobeba viongozi wa Nchi mbalimbali zimeendelea kuwasili kushiriki Mkutano wa Dharura wa Pamoja Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika leo. Jumuiya zote mbili zinakutana kujadili kwa lengo la kupatia ufumbuzi hali ya ulinzi na usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Image from Aviation Media Tanzania: Ndege zilizobeba viongozi wa Nchi mbalimbali zimeendelea kuwasili kush...
👍 1

Comments