Aviation Media Tanzania
Aviation Media Tanzania
February 16, 2025 at 08:34 PM
Tazama ujuzi wa Rubani wa kutua kwenye upepo unaokatiza mbele "Crosswind" katika kisiwa cha Terceira siku ya leo. Ndege hii Dash-8/Q400 ya SATA inaonekana ku'Drift' mfano wa Subaru Impreza au Mitsubishi Lancer. Video Credit: Terceira Island Aviation Azores
👍 1

Comments