Aviation Media Tanzania
Aviation Media Tanzania
February 28, 2025 at 09:02 AM
Ndege kubwa ya China ya Amphibious - AG600 imekamilisha majaribio yote ya kuruka ili kuthibitisha ustahiki wake wa anga hadi kufikia Ijumaa ya leo, na kuweza kutii mahitaji yote ya uidhinishaji wa kustahiki kutoa huduma ya anga. Familia ya AG600 yenye uwezo wa kutumika kwenye Maji na nchi kavu, inakuwa ndege kubwa ya Uchina yenye madhumuni maalum, na inatarajiwa kuingia sokoni mwishoni mwa robo ya kwanza ya mwaka huu baada ya kukamilisha majaribio kadhaa machache ya kimipango.
Image from Aviation Media Tanzania: Ndege kubwa ya China ya Amphibious - AG600 imekamilisha majaribio yote...

Comments