Aviation Media Tanzania
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                February 28, 2025 at 03:34 PM
                               
                            
                        
                            Mara nyingine mafunzo ya kutua helikopta juu ya meli Baharini, hufanyika nchi kavu katika mtambo maalumu unaoigilizia hali ya Meli inapokuwa kwenye mawimbi ya bahari.
Mtambo huu unaweza kujongea chini, Juu, kuinama upande na hata kusogea kulia, kushoto, mbele na nyuma.