
Aviation Media Tanzania
March 1, 2025 at 06:33 AM
Shirika la ndege la United Airlines imefikisha ndege 1,000 baada ya kupokea Boeing 737-9 MAX (N77584) na kulifanya shirika hilo kuongoza ulimwenguni.
Mashirika yanayofuata kuwa na ndege nyingi ni Delta Airlines likiwa na ndege 985 na American Airlines, ndege 978.
