DIRA LEO
DIRA LEO
February 3, 2025 at 08:03 AM
USAID KITOVU CHA UHARIFU; Elon Musk ambaye ni Mmiliki wa Makampuni ya Teknolojia nchini Marekani na Msimamizi wa Idara ya Ufanisi wa Serikali nchini humo (DOGE) ,Leo ametoa kauli ya kuwa Shirika la Maendeleo Nchini Marekani ni shirika la Kijasusi.Hii ni baada ya Wasimamizi wa Shirika hilo kuwazuia wafanyakazi wa Elon Musk kuingia katika mifumo ya Kiusalama.
Image from DIRA LEO: USAID KITOVU CHA UHARIFU; Elon Musk ambaye ni Mmiliki wa Makampuni ya ...
😮 1

Comments