DIRA LEO
DIRA LEO
February 24, 2025 at 06:55 AM
Akili ni kiini cha maisha ya mwanadamu. Kila tunachofanya, kila uamuzi tunaouchukua, na kila hatua tunayopiga huanzia kwenye mawazo yetu.Kuna msemo usemao "Unachokiwaza ndicho kinachotokea" ina ukweli mkubwa ndani yake kwa sababu akili zetu zina nguvu ya kutengeneza mustakabali wa Maisha yetu.
Image from DIRA LEO: Akili ni kiini cha maisha ya mwanadamu. Kila tunachofanya, kila uamuzi...
❤️ 1

Comments