
Prof. Hamadi Iddi Boga
February 23, 2025 at 10:39 AM
"Elimu ya dini ni mwangaza wa maisha."
Leo asubuhi, nimehudhuria hafla ya Madrasatul Makaarimil Akhlaaqil-Islaamiyaah iloyofanyika Ng'ombeni.
Nilifurahi kujumuika na wanafunzi pamoja na wazazi wa madrassa hiyo. Ni faraja kubwa kuona watoto wakikuzwa katika misingi imara ya dini na maadili mema, wakilea kizazi chenye maarifa, heshima na taqwa.

👍
1