
DAWA ZA ASILI
February 20, 2025 at 06:45 AM
MTI WA MZAMBARAU NI DAWA, ANGALIA FAIDA ZA UNGA WA MAGOME YAKE
Credit: Masha Herbal Clinic
WhatsApp: 0622925000
Wengi wetu tunatambua tu Zambarau faida yake ni matunda, leo tunakujuza mti huu ni dawa ya magonjwa lukuki na siri kubwa ipo kwenye magome yake
Hayo magome kausha vizuri kivulini kisha andaa unga wake, matumizi yake utakuwa unatumia nusu kijiko cha chai kwenye nusu kikombe cha maji ya uvuguvugu asubuhi kabla hujala chochote na jioni kabla ya chakula cha usiku, tumia kwa wiki 4 hadi 6
FAIDA ZAKE
🖤 Husaidia kwa kiasi kikubwa mno watu wenye shida ya tezi dume
🖤 Msaada sana kwa watu wenye Kisukari
🖤 Kirutubisho kizuri mno kwa kudhibiti na kurekebisha tatizo la Shinikizo la damu(Presha)
🖤 Msaada wa kurudisha hedhi kwa wanawake waliokosa hedhi kabla ya umri wa kukosa hedhi, pia hurahisisha mambo ya uzazi kwa mwanamke
🖤 Kubwa zaidi ukiutumia unga huu kwa kushirikiana na unga wa mizizi ya mlonge utatibu kirahisi mno tatizo lolote la nguvu za kiume(kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni, kushindwa kurudia tendo na mbegu kuwa dhaifu)
🖤 Husafisha taka mwili, hii inamaanisha huondoa sumu mwilini
Hizo ni baadhi tu ya sifa au faida za unga wa magome ya mti wa Mzambarau, matumizi yake tumeyaelezea hapo juu. Jitahidi kuandaa kama tulivyoelezea, kama ukishindwa unaweza wasiliana nasi kwa namba zilizopo hapo juu, dozi yote ya wiki 6 gharama ni Tsh 37,000 na tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi, tupo Mwanza pekee eneo la Mkolani jirani na Kanisa Katoliki
Mwanaume endapo una mapungufu ya heshima ya ndoa kwa ujumla yaani unawahi kufika kileleni, unashindwa kuendelea na tendo baada ya kumaliza mara moja, huna hamu ya tendo kabisa au unaposhiriki tendo unamuona mzee wako anasimama kwa ulegelege kama anataka kulala, inakulazimu kutumia unga wa Msamitu na Mlonge au Mkasiri na Mlonge wa mizizi vyote viwili kati ya hivyo kwa pamoja.
Kumbuka unga wa mizizi ya mlonge unasimamia kazi ileile inayofanywa na mbegu za maboga kwa mwanaume na tena hii mizizi y