
DAWA ZA ASILI
1 subscribers
About DAWA ZA ASILI
Karibu ujifunze dawa mbalimbali bureee
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Tafuta chupa ya lita moja hata nusu lita , au vile vichupa vinavyouzwa vya maji, chukua Karafuu vijiko vitano au sita , weka na chumvi kiasi na kama una asali weka asali itakuwa bora zaidi ... Tumia kwa kuswakia Asubuhi na jion baada ya kula ... Nyongeza ya maelezo : ukichukua unga wa karafuu weka na chumvi kias au kama una asali chukua unga wa karafuu changanya na asali .. loweka kwa siku 7 siku ya nane anza kutumia kuswakia ... Angalizo ili kuleta matokeo chanya Epuka matumizi ya dawa hizi zinazoitwa dawa za Meno Harufu itaondoka Ugonjwa wa Meno utabaki historia kwako Maumivu ya kinywa , Utayasikia kwenye magazeti Hii Ina uwezo wa kukaa miezi miwili mpaka mitatu bila kuharibika NB: Nini kitatokea kama ukiamua kuacha kuswaki kwa toothpaste(dawa za mswaki za madukani) kuanzia leo?? Narudia tena ugonjwa wa Meno utabaki historia kwako , Maumivu ya kinywa , Utayasikia kwenye magazeti Tunapendekeza uswaki kwa ✅JUISI YA KARAFUU ✅Mkaa ✅Majivu ✅Kitawi cha mkaratusi ✅Chumvi ✅Limao ✅Mmea unaoitwa Mswaki WENGI NAJUA WATAULIZA JUU YA HII DAWA ... JE TUNAWEKA NA MAJI ?.. MAJIBU : NDIO MAJI NI MHIMU. WEKA MAJI LITA MOJA AU NUSU LITA {VIUNGO KADIRIA KULINGANA NA KIASI CHA MAJI ULIYOWEKA} ILI MRADI TU IKOLEE... KISHA MCHANGANYIKO WAKO UACHE KWA SIKU 7 , SIKU YA NANE ANZA MATUMIZI SASA..

MTI WA MZAMBARAU NI DAWA, ANGALIA FAIDA ZA UNGA WA MAGOME YAKE Credit: Masha Herbal Clinic WhatsApp: 0622925000 Wengi wetu tunatambua tu Zambarau faida yake ni matunda, leo tunakujuza mti huu ni dawa ya magonjwa lukuki na siri kubwa ipo kwenye magome yake Hayo magome kausha vizuri kivulini kisha andaa unga wake, matumizi yake utakuwa unatumia nusu kijiko cha chai kwenye nusu kikombe cha maji ya uvuguvugu asubuhi kabla hujala chochote na jioni kabla ya chakula cha usiku, tumia kwa wiki 4 hadi 6 FAIDA ZAKE 🖤 Husaidia kwa kiasi kikubwa mno watu wenye shida ya tezi dume 🖤 Msaada sana kwa watu wenye Kisukari 🖤 Kirutubisho kizuri mno kwa kudhibiti na kurekebisha tatizo la Shinikizo la damu(Presha) 🖤 Msaada wa kurudisha hedhi kwa wanawake waliokosa hedhi kabla ya umri wa kukosa hedhi, pia hurahisisha mambo ya uzazi kwa mwanamke 🖤 Kubwa zaidi ukiutumia unga huu kwa kushirikiana na unga wa mizizi ya mlonge utatibu kirahisi mno tatizo lolote la nguvu za kiume(kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni, kushindwa kurudia tendo na mbegu kuwa dhaifu) 🖤 Husafisha taka mwili, hii inamaanisha huondoa sumu mwilini Hizo ni baadhi tu ya sifa au faida za unga wa magome ya mti wa Mzambarau, matumizi yake tumeyaelezea hapo juu. Jitahidi kuandaa kama tulivyoelezea, kama ukishindwa unaweza wasiliana nasi kwa namba zilizopo hapo juu, dozi yote ya wiki 6 gharama ni Tsh 37,000 na tunatuma popote mikoani kupitia ofisi za mabasi, tupo Mwanza pekee eneo la Mkolani jirani na Kanisa Katoliki Mwanaume endapo una mapungufu ya heshima ya ndoa kwa ujumla yaani unawahi kufika kileleni, unashindwa kuendelea na tendo baada ya kumaliza mara moja, huna hamu ya tendo kabisa au unaposhiriki tendo unamuona mzee wako anasimama kwa ulegelege kama anataka kulala, inakulazimu kutumia unga wa Msamitu na Mlonge au Mkasiri na Mlonge wa mizizi vyote viwili kati ya hivyo kwa pamoja. Kumbuka unga wa mizizi ya mlonge unasimamia kazi ileile inayofanywa na mbegu za maboga kwa mwanaume na tena hii mizizi y

Inatibu magojwa 56 mizizi namatawi yote na begu yake yote chemusha kuywa kwa siku 7, ama 14. Majani yake yanaongeza damu kwa. pia ukiweka kwa kidonda kinakauka hrk sana Itumika kumsafisha kwa bibi hakuna harufu kwa bibi kunabana fikicha majani yake weka chumvi funga kwenye kitambaa kisafi kidonge kidogo weka kwa ndani tulia dakika 15kisha tia ni dawa Ya macho una kamulia maji maji yake.pia nidawa yasikuo una kamulia maji maji yake kwasikio tumia kama dawa ya kukaushia kidonda kibiche au kukata damu kwa mama aliejifungua Mama alie jifungua anatokwa na dqmu nyingi chuma ifikenye kwa mkono then loweka kwa mqji itakua tiali kunya damubinakata hapo hapo, ? mtu amepata jelaha linatoa damu chuma fikinya ipate majimaji yake donsoshea kwa kidonda kazi shila mtot aliekunyw maji yatumboni unapash kweny moto unakamulia puani anapig chafya namaji yanatoka Hata vidonda vya kuungua kwa moto.ni fasta inakausha fikicha majani mpaka yatoe maji maji then unakandia sehem husika ilibindi unayagandishia hapo kufunika kidonda Hutibi Typhoid na Malaria yakichanganywa na Michai chai. next time unahisi kichefuchefu, ng'oa mizizi yake nusa kama dakika 5 harafu uje uniDM niko hapaa #What Makes Black Jack Special? Black Jack is not just a weed; it’s a medicinal herb with a wide range of therapeutic properties. Scientific studies and traditional practices have shown that it is: - Antibacterial: Fights harmful bacteria. - Antioxidant: Protects cells from damage caused by free radicals. - Anti-inflammatory: Reduces inflammation in the body. - Antiparasitic: Helps eliminate parasites. - Anticancer: Contains compounds that may inhibit the growth of cancer cells. These properties make Black Jack a versatile and essential plant for promoting health and preventing diseases. #Benefits of Black Jack for Humans Black Jack is not just for chickens; it’s a treasure trove of health benefits for humans as well. Here’s how it can improve your well-being: 1. Prevents Ulcers: The plant’s anti-inflammatory properties help protect the stomach lining and prevent ulcers. 2. Aids Digestion: It prevents digestive disorders and promotes a healthy gut. 3. Reduces Belly Fat: Black Jack can help with weight management by reducing excess belly fat. 4. Prevents Memory Loss: Its antioxidant properties protect brain cells and may help prevent memory loss. 5. Supports Cardiovascular Health: It helps prevent and manage conditions like hypertension, heart attack, heart failure, stroke, and diabetes. 6. Prevents Gout Attacks: Black Jack improves kidney function, helping to excrete uric acid from the blood and reducing the risk of gout. #How to Use Black 1. As a Vegetable: - Wash the leaves thoroughly. - Cook them as you would any leafy green vegetable. They can be sautéed, added to soups, or mixed into stews. 2. As a Tea: - Harvest a handful of fresh leaves. - Wash them well and cut them into smaller pieces. - Place the leaves in a pot and add a cup of clean water. - Boil for 10 minutes. - Strain the liquid and drink the tea. You can add honey or lemon for flavor if desired.

SIDA ACUTA NI MMEA WA DAWA WENYE NGUVU ZA ASILI ZA MIUJIZA PAMOJA NA UWEZO WA UPONYAJI WA MAGONJWA. Mmea wa dawa wa Sida acuta ni mmea wa familia ya malvaceae ambao unastawi kwenye nchi za hali ya hewa ya tropic na ikweta. UWEZO WA SIDA ACUTA KUPONYESHA MAGONJWA. Mmea wa dawa wa Sida acuta ni mmea wenye uwezo wa kuponyesha magonjwa ya kuharisha, kiungulio na kuvimbiwa kwa chakula kisichosagwa tumboni. Pia mchemsho wa majani ya mmea huu wa Sida acuta hutumika kuogea ili kutibu miwasho ya mwili mbalimbali. UWEZO WA SIDA ACUTA KWENYE NGUVU ZA ASILI ZA MIUJIZA. Kwa kiasi kikubwa umaarufu wa mmea huu upo kwenye matokeo ya uratibu wa matumizi yake ya nguvu zake za asili za miujiza. Nitaongelea ule uwezo wake ambao haukiuki sheria za hadhara juu ya siri zisizotakiwa kuelimishwa hadharani. Tawi ndogo lenye majani machache hutumika kupata maono ya matukio ya mbele kwa kuliweka tawi hilo ndani ya mto kisha usiku mto hutumika kama kawaida ambapo mtumiaji utakapo lalia atapata maoni ya matukio yote ya muda ujao kwa njia ya ndoto. Kama hatapa maono hayo anashauriwa kuushirikisha na mmea mwingine uitwao Nerium africana kwa kufuata kutimiza masharti yale yale. Kihistoria makabila mengi ya kiafrika wanaufahamu mmea huu kwa kazi yake ya kufukuza balaa na laana. Kutokana nguvu yake ya kufukuza balaa na laana makabila mengi yaliuchagua mmea huu utumike kama fagio ili wakati wa kufagia uchafu kwenye makazi uweze pia kufagia takataka za nguvu za giza za laana, mikosi na mabalaa kwenye makazi ya nyumba zao. Na kwa kiasi kikubwa inasemekana kulikuwa na matokeo makubwa yaliyo chanya. Pia mmea huu ulitumika kulaani watoto bila wao wenyewe kujua kwa njia ya kuwapiga watoto hao kwa kutumia fimbo ya mmea huo. Inasemekana wengi waliopigwa kwa kutumia fimbo ya mmea huo walipata matatizo makuwa kwenye maisha yao ambayo yalihitaji msaada wa kuwanasua kwenye shida hizo Tatizo la kijamii ni pale waliojuwa uwezo wa nguvu za asili miujiza za mmea huu kutoelimisha wengine kuhusu sababu za

Inapunguza sukari mwilini Kwa wenye kisukari .. unapara miba kisha unamenya mabapa yake hayo..kisha wakata kama kabichi..unachanganya na nyanya chungu na vitunguu vikubwa kama vitano chumvi Kwa mbali . Kisha chemsha Kwa pamoja Kula..na mchuzi kunywa