DAWA ZA ASILI
DAWA ZA ASILI
February 20, 2025 at 09:09 AM
Vivimbe vinatibika kirahisi bila oparesheni, inahitaji tu kujiweka vyema kwenye vyakula na vinywaji ili kuzuia uvimbe kukua na kurekebisha homoni ya oestrogen na progestrone (homoni za uzazi ambazo km hazijabalansi, huweza kusababisha kuongezeka kwa uvimbe/vivimbe) Hapa chini nimekuwekea ratiba fupi ambayo inakufaa kuzuia au kukukinga dhidi ya vivimbe katika via vya uzazi.... •Asubuhi ukiamka kunywa maji nusu lita, kamulia limao moja au kijiko kimoja cha apple cider vinegar (siki ya tufaha) kama una madonda ya tumbo usitumie vinegar kunywa maji tu • Chai yako isikose tangawizi, mdalasini, iliki na karafuu • Mlo wa mchana, usile vyakula vya kukobolewa kama ugali wa sembe na ngano nyeupe, kama ni ugali tumia udaga au dona, ngano tumia ambayo haijakobolewa pia usiwe mtu wa kula wali mweupe (pengine maisha yetu ya kitanzania bila wali hayaendi, ila jitahidi kula kiasi kidogo, zaidi kula mboga mboga matunda na vyakula vya majini (dagaa, samaki, pweza n.k) • Mafuta ya kupikia tumia zaidi mafuta ya mimea kama mafuta ya mzeitun, alizeti, karanga n.k usitumie mafuta ya wanyama (mafuta ya kuganda) • Kwenye mboga au kachumbari weka kitunguu maji kwa wingi kwani kinasaidia sana kuyeyusha vivimbe mwilini • Usiku kabla ya mlo kunywa tena chai ya mdalasini, tangawizi, iliki na karafuu, utafuatisha dinner yako na muda wa kulala utamalizia na glass ya maji ya siki ya tufaha au glass ya maji yenye limao kama tulivyoelekezana mwanzo unapoamka.... Kama vivimbe ni vingi au ni uvimbe ni mkubwa wa kuzidi sentimita 4, Unaweza Kuandaa Dawa Hii Ukiwa Nyumbani kwako inasaidia pia HATUA YA KWANZA • Chukua unga wa halilinji vijiko 6, changanya na Unga wa Habat thufaa vijiko sita Mchanganyiko huu uweke kwenye bakuli kisha chukua asali mbichi lita moja umimine kwenye bakuli hilo na ukoroge (ingredients hizi zipo maduka ya tiba lishe) HATUA YA PILI. • Chukua tikiti kisha lioshe, kata na uondoe upande ule mwekundu ubakize MAGANDA YAKE ndo tunahitaji tu hayo mengi wape watoto wale. ~Maganda ya tikiti yasage kwenye blenda kisha utaweka lita moja ya maji kupata juisi yake. ~Juisi ya Maganda ya tikiti ikishakuwa tayari itoe na uchanganye na mchanganyiko wako wa asali, halilinji na habat thufaa. Koroga mpaka ikolee ~Chukua juisi yako uweke kwenye kidumu au kifaa safi ..........ni vizuri kuitunza kwenye friji ili isiharibike. MATUMIZI: Utakuwa ukitumia nusu glass mara tatu kwa siku mpaka iishe. Ukimaliza nenda ukapime ukubwa wa uvimbe wako kama haujaisha basi utakuwa umepungua kwa kasi sana kiasi ukiandaa nyingine unaisha.... Viambata hivi kama vinegar, halilinji, habat thufaa n.k unavipata katika maduka ya tiba asili au maduka ya kisunni. MAZINGATIO: Ni muhimu kuachana matumizi ya vidonge kama njia ya uzazi wa mpango, achana na vyakula vyenye kutiwa sukari nyingi kama keki, pipi, ice cream, soda, biscuit n.k hivi huchangia zaidi mvurugiko wa homoni hivyo uvimbe uendelea kukua zaidi. •Achana na matumizi ya vyakula vya kukobolewa sana mfano sembe, ngano nyeupe na vilevile yaepuke matumizi ya vyakula vyenye kutiwa mafuta mengi Ukizingatia hayo, nina uhakika ndani ya mwezi mmoja ni lazima uniletee majibu yaliyo mazuri... Kama kupata malighafi inakuwa ngumu au hauna muda wa kuandaa dawa, agiza dawa asili ya MIXED HERBS POWDER Ni dawa lishe ambayo imeandaliwa kwa mchanganyiko wa dawa asili za uzazi ambayo ✓ Itakusaidia kusafisha via vya uzazi yaani inasafisha mirija ya uzazi na fuko la uzazi ili kuondoa majimaji au uchafu na fangasi ✓ Itakuondolea makovu na vivimbe kwenye fuko la uzazi, mirija na kwenye vifuko vya mayai (fibroids, scars and ovarian cyst) ✓ Kwa kuwa imechanganywa na mrehani ndani yake, dawa hii itakusaidia pia kuondoa changamoto ya mvurugiko wa hedhi kama unapata tatizo la kukosa hisia, kuwa mkavu ukeni wakati wa tendo, period kupishana, damu ya hedhi kuwa na utelezi, mayai kutokupevuka n.k....

Comments