
DAWA ZA ASILI
February 20, 2025 at 12:57 PM
Kwa aina yoyote ya SARATANI (CANCER) na UVIMBE (TUMOR) tafuna mbegu 5 hadi 10 za mstafeli au za tikitimaji kila siku kwa Wiki 12 yani miezi mitatu .Unaweza ukaikausha au kuisaga kupata unga wake kisha kutumia unga huo kwenye chai (glasi au kikombe cha chai cha / ya maji maji ya moto ) kikombe cha chai mara 2 kwa siku vijiko 2 vya chai au vitatu .
Nenda kapime baada ya miezi hiyo mitatu uone majibu .
🎗️🍀 Hii ndiyo sababu hupaswi kula matunda yasiyokuwa na mbegu haya matunda ya kisasa wanayaita ya GMO.
⚠️ Epuka pia vyakula vya viwandani ,epuka sukari pia badala yake pendelea kutumia asali.
⚠️ vyakula vya kuepuka 👇
Kiufupi chichote kilichohifadhiwa kwenye Shelfu ya stoo halafu kina muda wa kusiha matumizi yake (expiring date) ,chochote kilichohifadhiwa kwa njia za kisasa ili kisiharibike hicho hakikufai kwa afya ya mwili .
⚠️ Epuka kula vyakula usivyovijua ni bora ukajizoeza kula vyakula ulivyovipika ajili ya kulinda afya ya mwili wako ,dunia hii ina siri nyingi linapokuja suala la vyakula vyankuweka mwilini mwako.
⚠️ Vinywaji vya kuepuka 👇
Pombe kwa aina zake Alcohol
Nguruwe na vilivyokatazwa kwenye Mambo ya walawi sura ya 11
Vinywaji vya viwandani maarufu kama Soft /Energy drinks
Kahawa au wengine huita Coffee
Chai za kiwandani au za kisasa zisizokuwa za kiasili au Artificial tea 👀
Badala yake tumia 👇
Juisi ya ndizi au Banana juice
Juisi ya matufaa au Apple juice
Juisi ya tikitimaji ay watermelon 🍉 juice
Na matunda mengine ya asili.
Kama una blenda nyumbani huna haja ya kuuwa mwili wako kwa vinywaji vya viwandani .Nunua matunda blendi tumia juisi ya asili kabisa .
Hatua ya kwanza kuelekea kuiponya afya yako ni kubadili mfumo wako wa maisha hasa kwenye vyakula vinywaji na mazoezi huku ukimuweka Mungu wa kwanza (Mathayo sura ya 6 aya ya 33) la sivyo utakuwa unapoteza muda wako hata utumie dawa gani bila hayo ni bure..
⚠️ Angalizo la mhimu ambalo hakuna atakayekuambia , Epuka kwa gharama zote dawa za kuondoa au kuounguza maumivu maarufu kama painkillers , si hivyo tu anza zoezi la kupunguza matumizi ya vidonge vya kizungu maana kila kidonge unachomeza kinaacha athari kwenye figo lako lako na ini lako ,sikatazi kutumia vidonge lakini kadiri uwezavyo jifunze kujitibu kwa kutumia tiba asilia itakusaidia sana . Usiliumize ini lako na figo lako!!
Usisahau kunifollow
Mungu akubariki