Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
February 18, 2025 at 05:18 PM
Protect your peace ✌🏾 stop chasing those who disregard you. Reciprocity matters in relationships, and your mental well-being thrives when you invest in those who respect and value you.😉 Linda amani yako ✌🏾acha kuwafatilia wale wasio kuthamini. Uhusiano mzuri unajengwa kwa usawa, na afya yako ya akili inastawi unapowekeza kwa wale wanaokuheshimu na kukuthamini. 😉

Comments