Stress Buster with Dr Michelle  WhatsApp Channel

Stress Buster with Dr Michelle

54 subscribers

About Stress Buster with Dr Michelle

❤️It is a platform to educate individuals about the significance of mental health. We address various mental health issues, provide strategies for overcoming them, and emphasize the importance of speaking openly about mental health concerns.❤️ You can share your stories and experiences with others in a Facebook private group https://www.facebook.com/groups/1773141229791616/?ref=share_group_link or email [email protected]

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/13/2025, 9:40:24 AM

🏡 Mazingira Yasiyounga Mkono Malengo Yako - Jizungushe na watu na mazingira yanayokutia moyo na kukuhamasisha, si yale yanayokuchosha na kukuondolea nguvu. 💡 Linda afya yako ya akili, rejesha tija yako! Ni ipi kati ya hizi unayopambana nayo zaidi? Tuongee kwenye kundi letu la Facebook kupitia link hapa chini 👇🏾 #AfyaYaAkiliNiMuhimu #MbinuZaTija #MipakaNiMuhimu #BadilishaMtazamo

Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/13/2025, 9:40:33 AM

https://whatsapp.com/channel/0029VaEOuRtFi8xWmGjsWM39/1001

Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/8/2025, 5:00:26 PM

https://x.com/apasproject/status/1888269537939779743?s=12

Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/13/2025, 9:39:28 AM

🚨 *Wezi 4 wa Tija na Afya ya Akili* 🚨 Tija yako siyo tu kuhusu usimamizi wa muda, bali ni kuhusu kulinda ustawi wa afya yako ya akili. Hawa wezi wanne wa kawaida wanaweza kukuondolea nguvu, kuongeza msongo wa mawazo, na kuathiri afya yako ya akili: ❌ Kutoweza Kusema “Hapana” - Kujilundikia majukumu kupita kiasi husababisha uchovu kupita kiasi (burnout). Kuweka mipaka si ubinafsi, ni kujitunza. ⚠️ Hofu ya Machafuko- Uhitaji wa ukamilifu na udhibiti wa kila kitu unaweza kusababisha wasiwasi. Kubali kutokamilika na lenga maendeleo badala ya ukamilifu. 💔 Tabia Duni za Afya - Usingizi, lishe, na mazoezi vinaathiri moja kwa moja hisia na umakini wako. Akili yenye afya huanza na mwili wenye afya.

Image
Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/13/2025, 9:35:51 AM

🚨 *The 4 Thieves of Productivity & Mental Health* 🚨 Your productivity isn’t just about time management, it’s about protecting your mental well-being. These four common thieves can drain your energy, increase stress, and affect your mental health: ❌ Inability to Say “No” - Overcommitting leads to burnout. Setting boundaries isn’t selfish, it’s self-care. ⚠️ Fear of Chaos - Perfectionism and the need for control can create anxiety. Embrace imperfection and focus on progress, not perfection. 💔 Poor Health Habits - Sleep, nutrition, and movement directly impact your mood and focus. A healthy mind starts with a healthy body. 🏡 Environment that doesn’t Support Your Goals - Surround yourself with people and spaces that uplift and motivate you, not those that drain your energy. Protect your mental health, reclaim your productivity! 💡 What’s one of these you struggle with the most? Let’s talk in our Facebook group link below 👇🏾 #MentalHealthMatters #ProductivityTips #BoundariesMatter #MindsetShift

Image
Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/6/2025, 2:16:43 PM

Nguvu ya dhamira ni nyenzo yenye nguvu kwa afya ya akili, lakini ni rasilimali yenye kikomo. Kila siku, tunaichosha kwa kuepuka vishawishi, kuchuja usumbufu, kudhibiti hisia, na kujilazimisha kufanya kazi tusizozifurahia. Msongo wa mawazo, uchovu wa maamuzi, na jitihada za siku zote kutaka kuwafurahisha wengine pia vinaweza kuipunguza, na kutuacha tukiwa tumechoka kiakili. Kadiri tunavyofanya maamuzi mengi na kujizuia zaidi, ndivyo tunavyozidi kuchoka. Ndiyo maana ni muhimu kutumia nguvu yako ya dhamira kwa mambo yenye umuhimu zaidi📌malengo yanayolingana na ustawi na maendeleo yako. Ipe kipaumbele kwa busara, la sivyo utachoka kabla ya kufikia unakoelekea.

Image
Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/4/2025, 5:35:30 PM

Boundaries are a form of self-respect😊protecting your time, energy, and peace allows you to show up as your best self for both you and others.😊😊

Video
Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/2/2025, 3:24:01 PM

Feeling overwhelmed? Let’s unplug anxiety together! Tune in on X Saturday of 8th February for real talk, practical tips, and a mental reset. #StressBusterWithDrMichelle #UnplugAnxiety

Video
Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/6/2025, 2:12:27 PM

Willpower is a powerful tool for mental health, but it’s a limited resource. Every day, we drain it by resisting temptation, filtering distractions, suppressing emotions, and forcing ourselves into tasks we don’t enjoy. Stress, decision fatigue, and constantly trying to impress others can also take a toll, leaving us mentally exhausted. The more decisions and self-restraint we practice, the more depleted we become. That’s why it’s crucial to put your willpower where it matters most📌on the goals that truly align with your well-being and growth. Prioritize wisely, or risk burnout before reaching your destination.

Image
Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
2/13/2025, 9:36:00 AM

https://www.facebook.com/share/g/19bsgpTKgn/?mibextid=wwXIfr

Link copied to clipboard!