Stress Buster with Dr Michelle
Stress Buster with Dr Michelle
February 20, 2025 at 07:10 PM
In the evening, I had the privilege of speaking at a Toastmasters meeting about the power of self-awareness. The key takeaway was that when we cultivate self-awareness, we can recognize patterns in our reactions, identify stress triggers, and make conscious choices that support our physical, mental, and emotional well-being. I invite you today to practice self-awareness, understand your thoughts, manage your emotions, and recognize how your behaviors impact your health. Jioni ya leo nilipata fursa ya kuzungumza katika mkutano wa Toastmasters kuhusu nguvu ya kujitambua. Ujumbe mkuu ulikuwa kwamba tunapojitambua, tunaweza kutambua mifumo ya miitikio yetu, kuelewa vichocheo vya msongo wa mawazo, na kufanya maamuzi ya makusudi yanayosaidia ustawi wetu wa kimwili, kiakili, na kihisia. Nakualika leo kuanza kujitambua, elewa mawazo yako, dhibiti hisia zako, na tambua jinsi tabia zako zinavyoathiri afya yako

Comments