KISHIMBA_TV
KISHIMBA_TV
February 18, 2025 at 04:08 PM
“Morali ya wachezaji ipo juu kuelekea mchezo wa kesho, michezo miwili iliyopita tulipata matokeo magumu kwenye uwanja huu, tunalijua hilo na tumejiandaa kufanya vizuri na ukiangalia hata walimu ni tofauti na wakati ule, Kikubwa kwetu kwa sasa ni kila mchezo kupata alama Tatu”…🗣️DAVID KAMETA

Comments