
KISHIMBA_TV
February 18, 2025 at 04:23 PM
🚨..Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba sc, Zubeda Sakuru na Meneja Habari, Ahmed Ally watahudhuria droo ya kupanga ratiba ya robo fainali ya michuano ya vilabu barani Afrika itakayofanyika Februari 20, 2025 jijini Doha, Qatar.
Ikumbukwe kuwa Simba SC ni timu pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ambayo imetinga robo fainali ya michuano hiyo ya CAF.