KISHIMBA_TV
KISHIMBA_TV
February 19, 2025 at 07:12 PM
🗣️:..Mimi siku zote siwezi kuwazungumzia wapiga hawa wapiga filimbi hata kama hawajui, naheshimu maamuzi yoyote yale ya mpiga filimbi wowote awe anapuliza filimbi vizuri au anapuliza vibaya.” JUMA MGUNDA Kocha mkuu wa NAMUNGO FC

Comments