
KISHIMBA_TV
February 20, 2025 at 10:11 AM
Kule nchini Qatar mjini Doha majira ya saa 11 jioni inafanyika droo ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho huku Simba SC ndio wawakilishi pekee waliyosalia kwenye michuano hiyo.
Simba anaweza kukutana na wapinzani kati ya hawa:
➡️Stellenbosch
➡️ASEC Mimosas
➡️Al Masry