
KISHIMBA_TV
February 20, 2025 at 07:21 PM
Twiga Stars wanashinda mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania nafasi ya kufuzu WAFCON 2026, pale Azam Complex Chamazi na sasa wapo mguu ndani kuelekea mchezo wa marudiano kule Equatorial Guinea.
WAFCON 2026 QUALIFIERS;
FT: Tanzania 🇹🇿 3️⃣-1️⃣ 🇬🇶 Equatorial Guinea
⚽️Stumai Abdalah
⚽️Enekia Kasonga
⚽️Diana Msewa