
KISHIMBA_TV
February 22, 2025 at 07:46 AM
🔴Espen Eskås Refa kutoka Norway ndiye atakayechezesha mechi ya Cairo Derby kati ya Al Ahly na Zamalek SC Leo. 🚨🇳🇴
🔴Wasaidizi wake wote wakiwemo waamuzi wa VAR wanatoka Norway.
🔴Kumbuka: Al Ahly waliuliza FA ya Misri wanataka wasimamizi wa mechi za kigeni kwa mchezo huu.
@kishimba_tv
#cairoderby⚽️🔥