
KISHIMBA_TV
February 22, 2025 at 01:11 PM
🚨..Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB), imebadili uwanja na muda wa kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, SIMBA SC vs AZAM FC ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa KMC COMPLEX February 24.
MCHEZO HUO SASA UTAFANYIKA KWENYE UWANJA WA BENJAMINI MKAPA, Dar es salaam Kuanzia Saa 1:00 usiku February 24.
MZIZIMA DERBY KWENYE KARAI PATAAMUA😄