Twaha Mwaipaya
February 7, 2025 at 06:28 AM
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara Mhe. John Heche atapokelewa nyumbani Tarime, Mkoa wa Mara baada ya kuchaguliwa Januari 21, 2025. Mapokezi hayo yataambatana sherehe ya pongezi.
#strongertogether
🙏
❤️
6