
Twaha Mwaipaya
1.7K subscribers
About Twaha Mwaipaya
MRATIBU WA UHAMASISHAJI WA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) TAIFA. 2019-2024
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Leo amezaliwa mwanangu mwenye alama ya mapambano yangu, wakati mama yake akiwa mjamzito mimi nilikuwa gerezani Singida na Isanga Dodoma, ni mtoto jasili, mtoto anaehoji, ni mtoto mwenye akili nyingi, namuomba Mungu amkuze katika kimo na akili. Happy birthday my Daughter Precious (Syana).

Jana tumezindua program ya TONE TONE, kuunganisha nguvu katika kupigania haki. Namba za kuchangia ni 0744446969 Jina ni Chadema HQ

Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche aanza kazi rasmi. Arusha na kanda ya kaskazini kaeni tayari.

Muda huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Tundu Lissu akisalimiana na Wananchi wa Gairo akiwa njiani kuelekea Ikungi Singida.

Ujumbe wangu leo kwa Rais Samia, kuhusu kutekwa kwa Deusdedith Soka na wenzake.

Tunarudi tena Mlimani City viwango ni vilevile.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mhe. Godbless Lema atamsindikiza nyumbani Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche. #StrongerTogether ✌️

"Nipo tayari kufa kwenye mapambano haya" Mh. Tundu Lissu

Derick Magoma aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Manyara amefarika leo tarehe 09 February katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alipokuwa akipatiwa matibabu. Pumzika Kaka Derick Magoma, umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Imani umeilinda.