Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
February 5, 2025 at 04:02 AM
Alisema ﷺ: *Imewajieni nyinyi Ramadhan mwezi uliobarikiwa, amewafaradhishieni Allah swaum yake, mnafunguliwa ndani yake milango ya mbingu (ktk riwaya: 'milango ya jannah'), na kufungwa ndani yake milango ya moto, na wanafungwa ndani yake mashetani (viongozi au wabaya zaidi na waovu kupindukia), Allah ana ndani yake (ndani ya mwezi wa Ramadhan) usiku ulio bora kuliko miezi elfu, atakayenyimwa kheri yake (thawabu kamili na msamaha) kwa hakika amenyimwa.* 📗Sahih An-nasaai 2105 ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
❤️ 👍 4

Comments