Salafi Da'wah East Africa WhatsApp Channel

Salafi Da'wah East Africa

1.4K subscribers

About Salafi Da'wah East Africa

Arabic & Swahili Content/Materials ONLY - Maudhui yaliyomo ni kwa Kiarabu & Kiswahili TU *مجموعة و إذاعة الدعوة السلفية شرق إفريقيا - نربطكم بعلماء الأمة السلفيين والمشايخ و الدعاة (طلبة العلم) المعروفين المزكين من قبل العلماء الكبار* *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* 🔗 *_"Tunawaunganisha na ulamaa wa umma wa kisalafi na mashekhe wanaojulikana vizuri waliopewa Tazkiyyah na ulamaa wakubwa"_*

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/11/2025, 10:53:09 AM

*HUKMU YA KUFUNGA BAADA YA NUSU YA SHA'BAAN* _"Ama kilichokuja kutoka kwa Mtume صلى الله عليه وسلم - kutoka kwa hadith ya Abu Hureira رضي الله عنه kuwa alisema: *(itakapofika nusu ya Sha'baan msifunge)* ameipokea Abu Daud na Tirmidhi._ _*Ulamaa wamekhtalifiana katika kuisahihisha na kuidhoofisha, wameidhoofisha wengi katika ulamaa wa hadith, kama Ahmad na ibn Ma'iin, na hata kwa kauli kuwa ni sahihi kama walivyoenda kwa kauli hiyo ibnul Qayyim na Al Albani, na ibn Baz -Allah awarehemu wote; linalokusudiwa ni katazo la kuanza kufunga baada ya nusu ya Sha'baan, ama aliyekuwa amefunga masiku mengi ya mwezi basi amepata Sunnah.*_ _Asema Sheikh Ibn Utheymiin  رحمه الله تعالى -: *"na hata lau hadithi itasihi, basi katazo humo si ya kuharamisha, ni ya karaha (umakruhu) tu, kama walivyochukua kauli hiyo baadhi ya ahlul ilm, ila aliyekuwa na ada ya kufunga, basi atafunga hata baada ya nusu ya Sha'baan".*_ 📗[Khutba: Ahkaamu shahri sha'baan; ya Sheikh Khalid Adh-dhafiry-Allah amhifadhi] ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f

❤️ 👍 5
Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/11/2025, 3:17:14 AM

Alisema Mtume  ﷺ: *Atakayefunga Ramadhan kwa imaan (anamuamini Allah na kusadiki alichomfaradhishia), na kutaraji malipo kutoka kwake, atasamehewa madhambi yake yaliyopita* 📗Bukhari 37 Muslim 760 ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f

❤️ 4
Image
Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/12/2025, 4:06:31 AM

*جـــديــــد* مقال لشيخنا الفاضل/ *أبي عمار علي الحذيفي العدني _ حفظه الله تعالى _* بعنوان : *مناقشة بعض المدافعين عن انحرافات محمد الإمام* ___ https://t.me/musafiqahfitnah/9643

Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/11/2025, 4:39:12 PM

*🚫BIDA' KATIKA USIKU WA NUSU YA SHA'BAAN* *_Miongoni mwa yanayotakikana kutanabahisha juu yake katika yatakayokuja katika nusu ya huu mwezi (wa Sha'baan ) ni mambo waliyoyazua watu.._* *_Na miongoni mwayo ni:_* *_1-baadhi ya watu kukhusisha usiku wa nusu ya Sha'baan kwa swala au kusimama usiku pasi na masiku mengine, na kuhuyisha usiku huo kwa dhikr na dua na kusoma Qur'ani, basi hili ni bid'a katika dini upotofu, hakulifanya Mtume صلى الله عليه وسلم wala maswahaba wake, na hiki kitendo ni chenye kurejeshwa kwa mwenyewe (aliyetenda), Allah عز وجل haikubali._* *_2-kuusherekea usiku huu, na kuwakunjulia familia katika chakula na vinywaji na mavazi, na mfano wa hayo, na kuukhusisha usiku huo pekee kati ya masiku kwa kuitakidi ubora wake, na kuwa ni bora kuliko masiku mengine , na hili ni katika jambo ambalo halikuja katika sheria kulifanya, wala hakulipendekeza yeyote miongoni mwa maswahaba wala tab'iin رحمهم الله, na kisichokuwa dini wakati huo hakitakuwa dini leo._* 📗[Khutba: Ahkaamu shahri sha'baan; ya Sheikh Khalid Adh-dhafiry-Allah amhifadhi] ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f

❤️ 📛 2
Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/10/2025, 6:00:51 AM

Alisema Mtume ﷺ: *Yule ambaye hataazimia swaum (na kuweka nia; ktk moyo wake) kabla ya alfajiri, basi hana swaum* 📗Sahih Abi Daud 2454 ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f

❤️ 3
Image
Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/12/2025, 3:53:01 AM

📼 محاضرة سيرة الشيخ العلامة أ.د. ربيع بن هادي عمير المدخلي (حفظه الله) من كتاب الفصول المضيَّة من سيرة  الشيخ ربيع بن هادي عمير المدخلي وجهوده العلمية والدعوية 🎙️ للشيخ د. خالد بن ضحوي الظفيري https://youtu.be/3sVcF_tzYHE

Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/13/2025, 3:22:47 AM

Alisema Mtume ﷺ: *Alisema Allah: kila amali ya mwanadamu ni yake yeye (amebainishiwa kiwango cha malipo yake, jema moja analipwa mara kumi yake hadi mara mia saba na zaidi) isipokuwa swaum, kwa hakika ni yangu mimi (hajui thawabu yake ila Allah), na mimi ndiye nitakayeilipa* 📗Bukhari 1904 Muslim 1151 ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f

❤️ 🙏 4
Image
Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/12/2025, 12:49:56 PM

Alisema Mtume ﷺ: *Swaum ni kinga (dhidi ya ma'siyah duniani), na ngome thabiti dhidi ya moto (itakayomzuia mtu kuingia motoni)* 📗Sahihul Jami' 3880 ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f

❤️ 4
Image
Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/10/2025, 9:37:28 AM

Imepokewa kutoka kwa Aisha na Ummu Salamah -Allah awe radhi nao: *Kuwa Mtume wa Allah ﷺ ilikuwa inampata alfajiri hali kuwa ana janaba kutokamana na ahli/wake zake, kisha akioga na kufunga* 📗Sahihul Bukhari 1925 ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f

❤️ 2
Image
Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
2/9/2025, 6:31:57 PM

فتوى الشيخ زيد بن هادي المدخلي - رحمه الله - (إعلان الترحم على أهل البدع) السؤال : أحسن الله إليك، ما حكم الدعاء على أهل البدع ،والترحّم عليهم ؟ وهل تكرار الطعن فى أهل البدع يُعتبر من الغيبة المحرمة ؟ الجواب : (أهل البدع على قسمين : *أهل بدع كفرية ، يعنى: بدعهم تكفّرهم وتخرجهم من الإسلام؛ كالقبوريين ، عباد القبور ، والمستغيثين بالأولياء -وغيرهم- ممن يسب الدين ، -ونحو ذلك من البدع التى هى كفر- ؛ فهؤلاء لا خير فيهم ، ويُدعى عليهم؛ لأنهم كفار . *وأهل بدع فسقة من الفساق ،ليسوا كفاراً -كأهل الحزبيات، والمنظمات المخالفة لمنهج أهل السنة والجماعة فى باب الجهاد ، وفى باب النصيحة ، وفى باب الأمر بالمعروف ، وفى باب الولاء -ونحو ذلك- ؛ فهؤلاء نعم يُدعى لهم بالهداية. فإذا ماتوا وهم على الإسلام: لا حرج من أن يُترحّم عليهم ، فيقول: رحمه الله . لكن ؛ لا يعلن ويشهر تحسّره عليه ؛ لأن صاحب البدعة من أعداء أهل السنة ، فلا يُظهر أهلُ السنة الأسفَ عليه ؛ لأن موته خير لأهل الأرض من بقائه ، فبحكم الإسلام: له أن يترحّم عليه بينه وبين نفسه ، فلا يُعلن ذلك ؛ لأن خطر أهـل البدع واضح ومعلوم على أهل السنة ومحاربتهم لها . ثم الكلام فيهم من أجل التحذير من بدعهم والاغترار بأهوائهم هذا ليس من الغيبة المحرمة ،وإنما هو من النصيحة للمسلمين ، ولهذا جاء رجل إلى الإمام أحمد – رحمه الله – فقال: يا أبا عبد الله إنه يشق علىَّ أن أقول: فلان كذا..وفلان كذا من أهل البدع ، قال :إذا سكتّ أنت وسكتّ أنا؛ فمتى يتبين الحق للجاهل؟! لابد من البيان . اذكُرْهم بما هم فيه من الجرح والبدع المخالفة للسنن ، فليس لهم غيبة ؛لأنهم هم السبب فى مخالفتهم لأهل السنة والجماعة ، فالكلام فيهم نصيحة . على المتكلم أن يكون عالماً ببدعهم مطلعاً عليها ، وأن يكون عارفاً بالسنة ، وأن يكون مخلصاً وقاصداً وجه الله بالكلام فيهم ليحذرهم الناس فيسلموا من بدعهم. وكثيراً ما تجد العلماء الأفاضل يحذّرون من أهل البدع ،ويوصون الناس بالابتعاد منهم ، حتى إن بعضهم يقول -وهو إمام-: " آكل عند اليهودى والنصرانى ولا آكل عند صاحب بدعة " ،وما ذلك إلا لشدة خطر المبتدع. والسلف يهجرونهم أحياءً وأمواتاً).

❤️ 2
Link copied to clipboard!