Salafi Da'wah East Africa
February 6, 2025 at 03:39 AM
Imepokewa kutoka kwa Ammar bin Yaasir -Allah awe radhi naye- alisema:
*Atakayefunga siku ambayo watu wana shaka nayo (siku ya thelathini- Sha'baan) basi amemuasi Abal Qasim (Mtume) ﷺ*
📗Sahih An -Nasaai 2187
════ ❁✿❁ ════
*Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)*
https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
❤️
3