Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
February 6, 2025 at 10:33 AM
Alisema Mtume ﷺ: *Msifunge hadi mtakapouona mwezi (wa Ramadhaan; baada ya kuzama jua la siku ya ishirini na tisa- Sha'baan), na msifturu (kumalizika Ramadhan) hadi muuone (mwezi wa Shawwal; baada ya kuzama jua la siku ya ishirini na tisa- Ramadhan), itakapowafichikia mwezi kwa sababu ya mawingu basi ikadirieni  (kamilisheni sha'baan thelathini, na kamilisheni  Ramadhan thelathini )* 📗Al Bukhari 1906 na Muslim 1080 ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
❤️ 3

Comments