Salafi Da'wah East Africa
Salafi Da'wah East Africa
February 7, 2025 at 12:11 PM
Alisema Mtume ﷺ: *Utakapokuwa usiku wa kwanza wa Ramadhan, wanafungwa mashetani na majini waliopetuka kwa shari (viongozi wao), na zinafungwa milango ya moto, hautafunguliwa hata mlango mmoja, na kufunguliwa milango ya jannah, hautafungwa hata mlango mmoja, na atanadi mwenye kunadi; ewe mwenye kutaka kheri: tangulia, na ewe unayetaka shari: acha/komeka, na Allah ana anaowaacha huru na moto; na hilo linakuwa katika kila usiku (miongoni mwa nyusiku za mwezi wa Ramadhaan)* 📗Sahih ibn Maajah 1339 ════ ❁✿❁ ════ *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* https://whatsapp.com/channel/0029VabMSx07tkj3R6Dou41f
❤️ 4

Comments